We have 312 guests and no members online

AFISA MIFUGO WA WILAYA, MTENDAJI WA KIJIJI NA AFISA MIFUGO WA KIJIJI WASIMAMISHWA KAZI KARATU.

Posted On Sunday, 28 January 2018 15:34 Written by
Rate this item
(0 votes)

Picha inayohusiana

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amewasimamisha kazi Afisa mifugo wa wilaya ya karatu, mtendaji wa kijiji na Afisa mifugo wa kijiji. Gambo amechukua hatua hiyo baada ya watendaji hao kushindwa kusimamia vizuri zoezi kupiga chapa mifugo ambalo pia ni la kitaifa, na kuagiza katibu tawala wa mkoa kuwaandikia barua ya kuwaonya mkurugenzi na kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu

Read 56 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli