We have 134 guests and no members online

MATOKEO KIDATO CHA NNE, UFAULU WAONGEZEKA KWA 7.22%.

Posted On Tuesday, 30 January 2018 10:24 Written by
Rate this item
(0 votes)

Tokeo la picha la nectaKatika matokeo yaliyotangazwa na Katibu mtendaji wa baraza la Taifa la mitihani NECTA Dkt. Charles Msonde ufaulu umeongezeka kwa asilimia 7.22 tofauti na mwaka 2016, ambapo ufaulu ulikuwa asilimia 70.35 mwaka 2016 na sasa ni asilimia 77.57.

Kwa upande mwingine shule zilizofanya vizuri katika matokeo hayo ni pamoja na Saint Francis girls, Feza Boys, Chemobos, Bethei Sabs, Anuarite, Marian girls na Shamsi. Shule zilizofanya vibaya ni pamoja na Pwani mchangani, Mwenge, Langoni, Furaha, Mbesa, Kibugaro, Chokocho na Nyeburu Mteule.

Aidha jumla ya watahiniwa 265 wamefutiwa matokeo kwa udanganyifu, wakiwemo 136 waliofanya mtihani wa kujitegemea.  

Read 140 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart