We have 375 guests and no members online

Kwaheri Na Shukran Nyingi Komredi Kingunge..

Posted On Friday, 02 February 2018 05:55 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 1 person, smiling

Ulijitahidi kuishi ulichokihubiri. Uliipenda kwa dhati nchi uliyozaliwa, Tanzania. Ulikuwa Mwalimu mahiri wa somo la siasa, ni kupitia kauli, maandiko na matendo yako.

Kuna wengi tuliofurahia kuishi kwako duniani. Tunafurahia pia Mwenyezi Mungu kutupa uhai kuweza kukuaga huku kwa furaha tukikushukuru kwa yote mema uliyoifanyia Nchi Yetu.

Utakumbukwa, Kingunge Ngombale Mwiru.

Maggid Mjengwa.
Mbinga.

Read 110 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli