We have 302 guests and no members online

TAZAMA PICHA ZA NDEGE ILIYOANGUKA NA KUUA MARUBANI WAWILI Z'BAR

Posted On Friday, 02 February 2018 10:03 Written by
Rate this item
(0 votes)

Tokeo la picha la ajali ya ndege ZANZIBARTokeo la picha la ajali ya ndege ZANZIBAR

Katika ajali hiyo iliyotokea wakati wa kurusha ndege baada ya matengezo katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani karume, marubani wawili wamefariki Dunia. David Kisusi Muhandisi Mkuu kutoka kampuni ya Tropical Air, amesema ndege hiyo yenye usajili wa 5H-TDF yenye uwezo wa kubeba abiria wanne mali ya Chuo cha Usafirishaji cha Dar-es-Salam (NIT) ilikuwa Zanzibar kwa ajili ya matengenezo imeanguka kuungua wakati ikifanyiwa majaribio.

Tokeo la picha la ajali ya ndege ZANZIBARTokeo la picha la ajali ya ndege ZANZIBAR

 

 

Read 105 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli