We have 362 guests and no members online

TAKUKURU YAWANASA WANNE TEMEKE.

Posted On Friday, 02 February 2018 14:52 Written by
Rate this item
(0 votes)

Tokeo la picha la takukuru

Chanzo; Mwananchi.

Emanuel Kobelo Ofisa mtendaji wa kata ya Jangwani, Joseph Chilumba ni ofisa mstaafu wa jeshi la magereza, Ally Ally mfanyabiashara wa kampuni ya Equlmalk pamoja na Doroth Magige wametiwa mbaroni na TAKUKURU kwa kosa la kuomba rushwa. Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Temeke Pilly Mwakasege amesema watuhumiwa hao wamekamatwa kwa kuwekewa mtego tarehe 30 January mwaka huu, baada ya kumuomba rushwa ya shilingi milioni 3 ili wasimchukulie hatua Ally Ally mfanyabiashara waliyemtuhumu kushirikiana na raia wa kigeni katika kufany abiashara ya madini ya dhahabu na almasi.

Mwakasege amesema watuhumiwa hao kutokana na kutenda kosa la kuomba, kushawishi na kupokea rushwa, wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya wilaya ya Temeke ili kufunguliwa mashtaka chini ya kifungu cha 15 cha sheria ya TAKUKURU namba 11 ya mwaka 2007. mfanya biashara  na kupokea milioni 2 ili kutomchukulia hatua

Read 50 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli