We have 156 guests and no members online

BURUNDI YAKANUSHA IDADI YA WAKIMBIZI INAYOTAJWA NA UNHCR.

Posted On Friday, 09 February 2018 05:46 Written by
Rate this item
(0 votes)

Related image

Serikali ya Burundi inakanusha vikali takwimu za shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi-UNHCR kuwa ni wakimbizi wakirundi zaidi ya 430,000 wanaohitaji misaada mwaka huu.

Hayo yamejiri wakati shirika hilo limeanza kampeni ya kuchangisha pesa zaidi ya dola milioni 300 kwa ajili ya kuwahudumia wakimbizi hao ambao asilimia 80 wanaishi katika kambi za wakimbizi kwenye mataifa jirani. Burundi inasema UNCHR imekuwa ikidanganya juu ya idadi ya wakimbizi kutoka nchini Burundi ili wajipatie kiwango kikubwa cha misaada kutoka kwa wafadhili.

 

Read 31 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu