We have 164 guests and no members online

KENYA; MWANAFUNZI WA CHUO AFARIKI DUNIA KWENYE UGOMVI WA BAA.

Posted On Saturday, 10 February 2018 09:07 Written by
Rate this item
(0 votes)

Related image

Mwanafuni mmoja wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha Jaramogi Oginga Odinga nchini Kenya, ameuwawa wakati wa ugoomvi wa kwenye baa.Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa kwenye tovuti ya Daily Nation, makamu mkuu wa chuo hicho Prof Stephen Agong’ amesema uliibuka ugomvi kati ya baadhi ya wanafunzi kutoka chuo hicho na wahudumu wa baa katika mji wa Bondo usiku wa kuamkia Jumamosi hii,

ambapo katika ugomvi huo mwanafunzi mmoja wa mwaka wa tatu alijeruhiwa. Hata hivyo, Prof. Agong’ amesema bado polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi kuhusu ugomvvi huo  uliosababisha maauaji, na hivyo kuzua maandamano ya wanafunzi wa chuo hicho.

Read 65 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu