We have 169 guests and no members online

AJALI YATOKEA DAR, WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA PAPO HAPO.

Posted On Saturday, 10 February 2018 10:12 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image result for ajali ya bajaji

Watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha baada ya bajaji yenye namba za usajili MC 957AHQ waliyokuwa wamepanda kugongwa na gari aina ya Toyota Land Cruser namba T999 EGS maeneo ya Shele ya Msingi Mapambano jijini Dar es Salaam.

Tukio la ajali hiyo limetokea leo jumamosi ya Februari 10, 2018 wakati bajaji hiyo iliyokuwa ikitokea maeneo Sinza kuelekea Afrikasana ilipogongana na Toyota hiyo iliyokuwa ikitokea maeneo ya Sinza Afrikasana kuelekea Shekilango. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa ndani ya bajiji hiyo wanaodaiwa kufariki dunia walikuwa wakitokea katika soko la Mabibo kwa ajili ya kununua mbogamboga na ndipo walipopatwa na mkasa huo.

Read 104 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu