We have 170 guests and no members online

MASHAMBULIZI SYRIA YAMESABABISHA VIFO VYA WATU 230.

Posted On Saturday, 10 February 2018 16:11 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image result for syria attacks

Mashambulizi ya anga ya Syria na Urusi katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi yamewaua raia 230 katika kipindi cha wiki iliyopita ikiwa ni miongoni mwa mashambulizi mabaya ambayo yanaweza kuchukuliwa kama uhalifu wa kivita.

Zeid Ra'ad al-Hussein Kamishina Mkuu wa shirika la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa amesema ofisi yake imepokea taarifa ikiwa ni pamoja na picha za vidio zinazo onesha kuwa silaha za sumu zilitumika katika mashambulizi yaliyofanyika kwenye miji inayodhibitiwa na waasi katika majimbo ya Saraqeb na Idlib. Amesema kwa kiwango ambacho mgogoro wa Syria umefikia hivi sasa suala hilo linatakiwa liwasilishwe katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ikiwa ni pamoja na juhudi za kurejesha amani nchini humo.

Read 43 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu