We have 172 guests and no members online

PICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYOANGUKA RUSSIA NA KUUA WATU 71.

Posted On Monday, 12 February 2018 05:23 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image result for Russian minister: 71 die in plane crash near Moscow

Hata hivyo, hakuna aliyebahatika kupona katika ajali hiyo. Abiria wote 65 pampoja na wahudumu 6 wamepoteza maisha. Ndege hiyo ilianguka maeneo yenye barafu katika vitongoji vya Mji Mkuu Moscow dakika chache tu  baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Domodedovo.

Image result for Russian minister: 71 die in plane crash near Moscow

Image result for Russian minister: 71 die in plane crash near MoscowImage result for Russian minister: 71 die in plane crash near Moscow

Read 87 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu