We have 56 guests and no members online

Mafunzo Online Journalism Kwa Waandishi Wa Habari Mkoa Wa Mtwara Yanafikia Tamati Leo

Posted On Thursday, 29 November 2012 13:23 Written by
Rate this item
(0 votes)

Mafunzo online journalism kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mtwara yatarajiwa kufikia tamati leo mafunzo hayo ya siku nne ambayo yapo chini ya usimamizi wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania(UTPC) kwa kushirikiana na Klabu za mikoani, na yamewezeshwa na wawezeshaji Maggid Mjengwa na Lukelo Mkami wa Mjengwa Blog na gazeti la mtandaoni http://www.kwanzajamii.com/

Read 2041 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi