We have 207 guests and no members online

mjengwablog

mjengwablog

media

Rais wa Marekani, Donald Trump, Septemba 15, 2017 katika uwanja wa ndege wa Morristown, kabla ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York.

 

Na Masanja Mabula -Pemba ..

MAHAKAMA kuu kanda ya Pemba, chini ya Jaji Mkusa Isac Sepetu, hatimae imempa dhamana  mwanamke mwenye mtoto wa siku 21, anaetuhumiwa kukutwa na kete 3,621 zinazodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya.

media

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ambapo viongozi kutoka duniani kote wanakutana wiki hii.

Monday, 18 September 2017 05:21

TBL GROUP NDANI YA MASHINDANO YA MBUZI 2017

TBL MBUZI 1

Baadhi ya washiriki wakishindanisha mbuzi wakati wa mashindano hayo ambayo kampuni ya TBL kupitia Bia yake ya Kilimanjaro ilikuwa mmoja wa wadhamini.

Monday, 18 September 2017 04:48

AFISA WA MAKAO MAKUU YA CCM AFUNGA NDOA

Hayawi hayawi mwisho huwa. Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthbert Midala na Mkewe Catherine, wakionyesha pete zao vidoleni, baada ya kufunga ndoa mubashara, katika Kanisa la ECWC, Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, jana, Jumamosi Septemba 16, 2017.

Mwakilishi wa Jimbo Tunguu Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akizungumza na wananchi wa Jimbo lake katika Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja wakati wa hafla ya kukabidhi fedha Vikundi 13 vya Ushirika vya Wananchi wa Kae Pwani Unguja. Mchango huo umetolewa na Mbunge na Mqwakilishi kuchangia vikundi hivyo kwa ajili ya kutunisha mifuko ya vikundi vya vinavyojishughulisha na ujasiriamali wa kutengeneza bidhaa na kilimo na kukupeshana, hafla hiyo imefanyika katika Tawi la CCM Ungua Ukuu Kae Pwani.

Monday, 18 September 2017 05:15

KAMISHNA MKUU TRA AFANYA ZIARA YA KIKAZI TBL


Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin (kulia) akimkaribisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere wakati alipoongoza ujumbe wa Maofisa Waandamizi wa taasisi hiyo katika ziara ya kikazi katika kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries Limited, kilichopo Ilala jijini Dar e Salaam.

1Balozi Dkt. Emmanuel J. Nchimbi akisaini Mkataba kwa niaba ya Serikali ya Jamnhuri ya Muunganowa Tanzania wa Msamaha wa Deni la Tanzania kwa Serikali ya Brazil .Kwa upande wa Brazil mkataba huo ulisainiwa na Dkt. Sonia Nunes, Wakili wa Serikali ya Brazil.

index

Watumishi wa Manispaa zote, idara za AFYA(wauguzi, madaktari, maafisa afya), ELIMU (walimu Shule za Msingi, na sekondari, waratibu wa elimu kuanzia kata, wilaya na Mkoa,  

Page 3 of 3066

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart