We have 215 guests and no members online

mjengwablog

mjengwablog

1

Naibu Waziri Mkuu ambaye  ni Waziri wa Wizara ya Mambo ya Afrika Mashariki ya Uganda Mhe. Ali Kirunda Kivejinja akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe kabla ya kumkabidhi Bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kuashiria kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni zamu yake kukabidhiwa dhamana ya kuandaa Tamasha la Nne (4) la Utamaduni na Sanaa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) litakalofanyika mwaka 2019.

Friday, 15 September 2017 07:07

Tanzania: The Path to Prosperity

bot-scholarships-2017

On the 19th of September the Bank of Tanzania (BoT) and the International Growth Centre (IGC) will launch a new book Tanzania: the Path to Prosperity, edited by Governor of the BoTBennoNdulu and top IGC and University of Oxford economists Sir Paul Collier and Professor Christopher Adam, at a seminar in the Bank of Tanzania conference in Dar es Salaam. The chapter authors will briefly summarise the content of their work with discussion focusing on the key issues for policymakers, academics, and other stakeholders to be aware of.

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Simon Karikari akielezea jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa huduma mpya za Tigo Business zinazowasadia wafanyabiasahra kuongeza ufanisi wa kazi zao. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Hugh Sonn.

IMG_7292

Wakazi wa Kijiji cha Itonya wakiwa wamekusanyika kwenye kituo cha Usajili kilichopo Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa. Mbali na kujaza fomu za maombi ya Vitambulisho wakazi hao pia wanachukuliwa alama alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki.

IMGL4073

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Vitu vilivyo tengenezwa na kituo cha Madini.Wakati alipo fika kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa 37 wa Baraza la Uongozi wa Kituo cha Madini na Jiosayansi cha Afrika(AMGC) uliofanyika leo Septemba 14/2017 Mkoani Dar es salaam kulia kwake ni Naibu wa Nishati na Madini DR Kaliman .

Picha na Ofisi y Waziri Mkuu

PMO_7796

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na kujenga mahusiano mazuri na Washirika wa Maendeleo ili kuwezesha kufanikisha azma ya kushirikiana katika kuleta maendeleo nchini.

1

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati akiwasilisha muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalamu wa Afya shirikikishi (The medical, Dental and Allied Heath Professional)  leo Bungeni mjini Dodoma.

Page 6 of 3066

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart