We have 79 guests and no members online

mjengwablog

mjengwablog

Makampuni ya bima nchini yametakiwa kusogeza hudama za bima ya Maisha kwa wanananchi ili kuchangia ukuajia wa uchumi wa nchi hususan katika kipindi hiki cha uchumi wa viwanda. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji alipokuwa akifungua semina ya kimataifa ya Bima ya Maisha inayofanyika jijini Arusha.

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh.Livingstone Lusinde (kushoto) na Mbunge wa Dodoma Mjini  Anthony Mavunde (kulia pichani juu wakati wakihojiwa na Hassan Ngoma wa 360 Clouds)  wampongeza Mh. Rais Dk.John Pombe Joseph Magufuli kwa uamuzi wake kuhamishia Makao makuu ya Serikali Dodoma na hivyo kuongeza fursa za kiuchumi katika mkoa wa Dodoma kupitia uzalishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zitakazotolewa.

Waziri Mpina na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Bukoba wakielekea katika zoezi la upigaji chapa ng’ombe katika kata ya katerero kijijini Kyerwa leo.

Kuchelewa kupelekwa fedha ambazo zilitakiwa kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za wananchi ili waweze kukamilisha Mradi wao wa Ujenzi wa jengo la Mashine ya Usindikaji wa Mafuta katika Kijiji cha Kombe umesababisha Mwekahazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kupewa wiki mbili kuhakikisha fedha hizo zinafika haraka la sivyo atakuwa amejiundoa kazini mwenyewe.

Friday, 03 November 2017 06:12

JAFO: Wafanyakazi Mzigo Hawahitajiki

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akiongea kwenye kikao cha kamati ya kudumu ya bunge ya utawala na Serikali za mitaa na kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.

Balozi wa Tanzania nchini China Mhe Mbelwa Kairuki amewataka Watanzania wanaosoma katika Taifa hilo kutumia fursa hiyo kuunga mkono juhudi za Tanzania kuelekea Uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

media

Claude Verlon (kushoto) na Ghislaine Dupont, Kidal, Mali, Julai 2013.

 Mwenyekiti wa Halmashauri MH. Ramadhani Diliwa wa tatu kushoto akizungumza na vikundi juu ya usimamizi bora wa matrekta hayo kwa lengo la kuchochea matumizi ya zana bora zakilimo

Page 8 of 3104

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart