We have 342 guests and no members online

mjengwablog

mjengwablog

Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wanaofanya shughuli zao katika Mpaka wa Tanzania na Kenya Sirari , wakati wa ziara ya kikazi aliombatana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala(watatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo.Lengo la ziara hiyo ni kukagua shughuli mbalimbali zilizopo chini ya idara za wizara na kukagua mipaka iliyopo katika mkoa huo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

media

Mmoja wa waandamanaji katika mitaa ya Harare, Jumamosi, Novemba 18, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili kuongoza Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017

Imeelezwa kuwa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha Umeme wa kiasi cha megawati 240 kwa kutumia Gesi Asilia katika mradi wa Kinyerezi II umefikia asilimia 84.

Ofisi ya Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Singida imedhamiria kusimamia uboreshaji wa huduma za maji mkoani hapa huku mizaha itakayofanywa na mtu yeyote katika miradi ya maji, kutovumiliwa.

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imeokoa zaidi ya shilingi Bilioni 5 ambazo zingetumika kusafirisha wagonjwa nje ya nchi kufuata matibabu baada ya MOI kuanzisha huduma za kibingwa ambazo awali zilikua hazipatikani hapa nchini.

 

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amewataka waganga wakuu wa mikoa wote nchini kuanzisha zoezi la wazi la uchunguzi wa saratani ya kizazi angalau mara moja katika mwezi ili kusaidia kutokomeza ugonjwa huo kwa wanawake hilo nchini.

Mtandao wa wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani umeiomba Serikali kuifanyia maboresho sheria ya Usalama barabarabi ya mwaka 1973 ili iweze kukabiliana ipasavyo na suala la ajali za barabarani pamoja na athari zinazotokana na ajali hizo.

Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mh,Maudline Cyrus Castico akibeba Watoto Njiti katika Maadhimisho ya mtoto  Njiti Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungan wa Tanzania, Samia Hassan Suluhuakizungumza na baadhi ya wajasiliamali wa Afrika mashariki.

Page 10 of 3114

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu