habari

JPM Atuma Salamu Za Rambirambi Baada Ya Ajali Mbaya Pwani.

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kufuatia vifo vya watu 26 vilivyotokea Jumamosi saa tatu usiku baada ya basi dogo (Hiace) lililokuwa limebeba abiria kugongana na lori katika kijiji cha Mparange Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *