habari

JPM: TLS Ni Mali Ya Umma, Haipaswi Kuwa Kama Mali Binafsi.

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ni mali ya Umma na haipaswi kutumika kama mali binafsi.

Rais Magufuli amesema hayo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akiwaapisha majaji 10, DAG, DDPP, Wakili mkuu wa serikali na naibu wakili mkuu wa serikali aliowateuwa, ambapo pia amezungumzia watu Wanaojifanya Wasemaji wa majaji.

About Hosea Revocatus

hosearevocatus9@gmail.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *