michezo

Liverpool: Jurgen Klopp Amewaambia Wachezaji Wake Kumaliza Kazi Dhidi Ya Brighton.

on

Lakini Klopp anafahamu mwisho wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid huko Kiev inakaribia wakati wa mwisho na siku chache zilizopita amezidi kuchanganyikiwa juu ya mechi zinazoendelea wakati bado kuna kazi ya kufanyika siku ya mwisho katika Ligi Mkuu.

“Tunahitaji kuzingatia kabisa mchezo huo. Ni mchezo wa mwisho wa msimu wa Ligi Kuu hivyo ni mkubwa, “alisema bwana Klopp.

“Mambo mengi yanaweza kutokea kwenye soka lakini tutakuwa pale pia, tutakuwa na wachezaji 11 na tutajaribu kila kitu ili kuhakikisha kuwa mwaka ujao tunacheza katika Ligi ya Mabingwa tena.

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *