habari

Kenya-Idadi Ya Waliopoteza Maisha Yaongezeka.

on

Idadi ya watu walipoteza maisha baada ya kuvunjika kwa kingo za bwawa la maji katika eneo la Solai katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya, imeongezeka na kufikia zaidi ya 40.

Mkasa huo uliotokea siku ya Jumatano usiku, wakati wakazi wa Solai wakiwa wamelala, umewaacha wengine zaidi ya 40 wakiwa na majeraha huku wengine wakiwa bado hawajapatikana.

Hii ndio mara ya kwanza nchi hiyo, kupatwa na mkasa huu katika kipindi ambacho mvua nyingi zimeendelea kunyesha na kusababisha mafuriko nchini humo na kusababia watu wengine zaidi ya 170 kupoteza maisha.

About Hosea Revocatus

hosearevocatus9@gmail.com

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *