habari

Kikao Cha Kamati Ya Bunge Ya Huduma Na Maendeleo Ya Jamii. (PICHA).

on

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe.
Juma Nkamia (kulia ) akiendesha kikao cha kamati hiyo kilichofanyika  mjini Dodoma.

Wakuu wa Taasisi za Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia
mjadala wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
wakifuatilia mjadala wakati wa kikao cha Kamati hiyo.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mama Salma Kikwete (kulia) akifuatilia mjadala wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika mjini Dodoma.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *