siasa

Kinana Azindua Semina Elekezi Kwa Wajumbe Wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa Mjini Dodoma.

on

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James (MCC) Kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Kufungua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana Wa Chama cha Mapinduzi jana Mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James(MCC) akizungumza wakati wa kutoa maelezo na kumkaribisha Mgeni Rasmi kufungua mafunzo Maalum kwa Wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa.

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa leo katika Ukumbi wa NEC katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma

Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana, jana katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

 Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana, jana katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Washiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana, jana katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Washiriki wakifuatilia semina elekezi, jana katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

 Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni Ndg.Steven Kazidi akiwasilisha Mada katikaSemina Elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana CCM Taifa, jana katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Meza kuu ikifuatilia Semina

(Picha zote na Fahadi Siraji wa UVCCM)

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *