We have 134 guests and no members online

c1 6fe65

Nyuma kabisa ni Ntwa Mwandemani, katikati ni Evelyn Auguste na mwenzao. Pichani ni Kisolanza, Mafinga, jana Jumamosi.

Posted On Sunday, 27 January 2013 08:53

 

IMG-20130127-00556 04ff6

IMG-20130127-00553 55b44

 

Posted On Sunday, 27 January 2013 05:48

william_mgimwa

Na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam

 SERIKALI ya Japan imepatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 28.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya uboreshaji wa usafiri jijini Dar es salaam na kilimo hapa nchini.

 Msaada huo umesainiwa (leo) jijini Dar es salaam na Balozi wa Japan hapa nchini Masaki Okada kwa niaba ya Japan na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania.

 

Posted On Friday, 25 January 2013 11:43

8E9U5067

President  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete  speaks during  a World Economic Forum session on “Mobilizing Private Sector Investment in African Energy,” held at World Food Programme  Tent in Davos, Switzerland. On the left  is USAID administrator Dr. Rajiv Shah  and second left is former British Prime Minister Tony Blair.

 

Posted On Friday, 25 January 2013 11:32

neno 03622

 Ndugu zangu,

Miongoni mwa viongozi waliopata kuongoza dola ya Kiislam, hususan baada ya Mtume Muhammad (SAW) , na baada ya masahaba, ni Amir Muuminina Khalifa Umar bin Abdulaziz.

Wanazuoni wa Kiislam wanatwambia, kuwa utawala wa Khalifa Umar bin Abdulaziz ulijaa uadilifu. Si kwa viongozi tu, hata kwa raia wake.

Posted On Friday, 25 January 2013 08:04

office 7e17c

  SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD

WAZEE WA KAZI

  TUMESHUSHA BEI ZA MAKONTENA!

40'HC TO DAR/MOMBASA NOW £1,950

20' CONTAINER TO DAR/MOMBASA £1,350

THIS IS MORE THAN £200 DISCOUNT!

HII BEI NI KWA MAERSK LINE, CMA-CGM, WEC LINE NA SAFMARINE

 

RATIBA YA MELI MPYA FEBRUARY 2013

Posted On Friday, 25 January 2013 05:07

 

002

Meneja Mikopo wa BankABC, Eugenia Shayo akikabidhi sehemu ya vifaa 100 vya kubebea taka kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda vyenye thamani ya sh milioni 3.5.

003

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo.

 

Manispaa ya Kinondoni imekabidhiwa vifaa 100 vya kutunzia taka na benki ya BankABC vyenye thamani ya shilingi milioni 3.5 leo Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea vifaa hivyo, Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda amesema Manispaa yake itahakikisha usafi unazingatiwa na mkazi atakayebainika kutupa taka ovyo atachukuliwa hatua kali ikiwemo kumtoza faini ya kuanzia shilingi 50,000 mpaka 10,000 “Hii ni kampeni maalumu

Posted On Thursday, 24 January 2013 10:26

kamala2 921fe

maonyesho ya Utalii ya Mh.Balozi Deodorus Kamala Wa Ubelgijin akitangaza utalii mjini Utrecht ,The Netherland katika viwanja vya Jaarbeurs .Maonyesho yalijumuisha Nchi 160 za Dunia na Balozi alisimama mwenyewe kuongea na wageni waliotembelea banda la Tanzania .

Posted On Thursday, 24 January 2013 07:42

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda  na Biashara, Deo Sanga (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa,kuhusu utengenezaji wa konyagi kubwa wakati wa ziara ya kamati hiyo, kwenye kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es Salaam

Posted On Thursday, 24 January 2013 02:22

IMG-20130123-00472 1aea8

IMG-20130123-00470 63d09

Posted On Wednesday, 23 January 2013 11:42

 

ATCL 1

Marubani   wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakiwa wanafanya ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza safari ya kutoka Kigoma kuenda Dar es Salaam leo asubuhi. Hii ni baada ya wahandisi wa shirika hilo kukamilisha kufunga kioo kipya ambacho kimenunuliwa kutoka nchini Marekani. Ndege hii aina ya Dash-8 Q300 yenye namba za usajili SH-MWF ambayo ilisitisha safari zake za Kigoma baada ya kioo cha mbele katika chumba cha marubani kupata ufa (Wind shield crack) tarehe 11 Januari, 2013, muda mfupi baada ya

Posted On Wednesday, 23 January 2013 02:33

002.MWEI 829bd

Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wa kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,waliofika katika ofisi za kijiji kwa ajili ya kukopeshwa pesa na  Vodacom kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huo kijijini hapo.

Posted On Tuesday, 22 January 2013 07:02
Page 45 of 48

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart