We have 86 guests and no members online

×

Warning

JUser: :_load: Unable to load user with ID: 644

JUser: :_load: Unable to load user with ID: 641

Furahia Huduma Za BlackBerry Internet Service (BIS)

 

Furahia Huduma za BlackBerry Internet Service (BIS) kwa gharama nafuu kutoka Vodacom. Furahia intaneti isiyo na kikomo na yenye spidi na Huduma zote za BlackBerry kuanzia e-mail, kuperuzi mitandao ya kijamii na BBM!

Kwa kianzio cha Tsh500 tuu!

Kazi ni kwako
...
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:55
NHC Yatangaza Tarehe Ya Kuanza Kuuza Nyumba KigamboniMkurugenzi wa Uendelezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe akitangaza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, muda wa kuanza kuuza nyumba 290 za bei nafuu zinazojengwa Kibada, Kigamboni zitakazoanza kuuzwa Januari 2, mwakani. Kulia ni Meneja Masoko na Utafiti wa NHC, Itandula Gambalagi. PICHA NA KAMANDA WA...
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:33
Wana-Simba Kulipia Ada Na Michango Yao Kwa M-pesa
Sasa wanachama wa timu ya Simba SC kulipia ada na michango mbali mbali ya timu kupitia M-pesa!Pia, kuzawadiwa muda wa maongezi wa Tsh 1000 BURE papo hapo wakilipa.Piga *150*00# na chagua MALIPO....
Posted On Thursday, 20 December 2012 12:28

 

Ugonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na  tishu zilizo chini ya ngozi ya  mwanadamu kuwa nene (thickening of skin and underlying tissue).Ugonjwa huu  huathiri  miguu, mikono, figo,  korodani  na kusababisha korodani  kuvimba na kuwa kubwa sana.Inakisiwa watu milioni 120 duniani wana maambukizi ya ugonjwa huu ambapo kati yao milioni 40 wamepata madhara makubwa kutokana na ugonjwa huu.Kati ya hawa walioathirika theluthi moja huapatikana katika bara la Afrika, theluthi moja nyingine hupatikana India, na kiwango kilichobakia hupatikana katika  visiwa vya Pacific, Marekani na Asia ya kusini. 

Posted On Wednesday, 05 December 2012 00:00

Kuna usemi unaosema, ukitaka uishi kama mfalme kesho, basi ni lazima uwe mtumwa wa leo. Usemi huu una mana pana sana kwa wale wenye kuutafakari kwa undani, mtumwa hapa ana maanisha ni kufuata yale unayoelekezwa na anayekutuma pia kufuata taratibu na sheria ulizowekewa. Kwa kufanya hivyo basi ni dhahiri utaweza kufikia malengo yako.  Katika fani yetu ya IT, kama zilivyo fani nyingine ina sheria, taratibu na michezo mingi mno ambayo inaifanya njia yake kuwa ngumu na yenye utata. Ni dhahiri kuwa kama haupo makini basi ni lazima tutakuokota ukiwa umejichokea pembeni na kutweta kama umetwisha mzigo wa kokoto.

Posted On Wednesday, 05 December 2012 00:00
Page 48 of 48

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Watumishi