habari

Makusanyo Ya Kodi Kwa Kipindi Cha Miezi 9, Trilioni 11.78 Zakusanywa.

on

Katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018, Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya Tsh Tril 11.78 ikilinganishwa na Tsh. Tril 10.86 ambazo zilikusanywa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ukuaji wa 8.46%.

About Hosea Revocatus

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *