michezo

Man Utd Wapanga Bei ya EURO 50m Kwa Ajiri Ya Martial, Taarifa Kutoka Italy.

on

Manchester United wapanga kiasi cha EURO 50m kwa Juventus ya Italy ambayo imeonesha  nia yakumsajiri Anthony Martial.

Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22 aliesajiriwa na Man Utd tokea Monaco kwa EURO 60m mwaka 2015, Lakini kutokana na kutopata muda mwingi wakucheza katika kikosi cha kocha wakireno Morinyo pale Old Trafford.

martial ameifungia timu ya Man Utd magori 11 na kupiga pasi za mwisho 10 katika mechi 43 katika msimu huu.

Martial anataka kuhamia katika timu ambayo itaamini zaidi katika kipaji chake.

Juventus ya Italy ni timu pekee inayohitaji huduma ya kiungo huyo kwakuwa wanaamini kuwa ataweza kufaa katika mfumo wao wa 4-3-3 ambapo ataweza kuongeza nguvu katika safu ya ushambliaji.

Na

-Innocent Chambi-

 

About Innocent Chambi

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *