michezo

Manchester Utd: De gea Aonyesha Ubora Wake Katika Msimu Huu Kwa Kushinda Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Klabu.

on

De Gea pia ameshinda Golden Glove kwa mara ya kwanza baada ya kutoruhusu nyavu zake kuguswa mara 18 katika msimu huu, akifuatiwa na mchezaji Ederson wa Manchester City.

Akiongea

“Nadhani umekuwa msimu kamili sana kwangu, bora zaidi tangu nimekuwa kwenye klabu hii, naona,” 

Ni vizuri kuwa na uwezo wa kusaidia timu, na kujaribu na kuwa katika kiwango cha juu cha fomu iwezekanavyo ili uweze kupata pointi kwa timu.

“Na hilo ndio jambo muhimu zaidi, kusaidia timu kwa kila njia na kudumisha kiwango hicho cha msimamo ambapo ninaamini ndicho kinachoonyesha tofauti.”

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *