michezo

Marseille Yatinga Finali Ya EUROPA Kwa Idadi Ya Magori 2-3 Toka Kwa Salzburg

on

Hatimae timu ya Marseille tokea Ufarasa itaungana pamoja na timu ya Atletico Madrid kutokea uispania katika finali za EUROPA.

Dimitri Payet ndie mchezaji alietoa pasi ya mwisho katida dakika ya 116 iliyomaliziwa vizuri na mchezaji aitwae Rolando na kuifanya timu hiyo kusonga mbele katika michuano hiyo baada ya mchezo huo kulazimika kwenda haji dakika 120 kwasababu ya kulingana idadi ya magoli katika mechi zote mbili walizokutana ikiwa Marseille walipata ushindi wa 2-0 nyumbani kwao na leo wamefungwa gori 2-1 na Salzburg.

Na

-Innocent chambi-

 

About Innocent Chambi

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *