Mchaichai Huu Nimepewa Zawadi Kwa Mama Wa Dodoma..
Nimeupanda nyumbani Iringa. Ni zawadi murua kwa mie ninayependa chai. Ni kutoka kwa Mama wa dada zangu; Jacqueline Maiga Mapigano na Catherine Magige.
Maggid.
on