We have 245 guests and no members online

Women Football At Katumba Folk Development College...

Published in Michezo

0_50780.jpg

Tukuyu, Mbeya.

Taifa Stars yasonga mbele

Published in Michezo

Timu ya Taifa, Tanzania, Taifa Stars

Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) imesonga mbele katika michezo ya raundi ya kwanza kwa kanda ya Afrika ya mchujo wa kombe la dunia litakalofanyia huko nchini Urusi mwaka 2018.

Taifa stars wakicheza ugenini huko nchini Malawi walikubali kulala kwa kichapo cha bao1-0 dhidi ya wenyeji wao timu ya taifa ya Malawi The Flames.

Bao lao pekee la mchezo huo lilifungwa katika dakia ya 41 na mchezaji Dave Banda.

Licha ya kuchapwa kwa bao hilo Tanzania wamesonga mbele kwa hatua ya pili baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Jijini Dar es salaam.

Stars watacheza Raundi ya Pili na timu ya taifa ya Algeria, ambao wanaanzia hatua hiyo ambayo Mechi zake zimepangwa kuchezwa Jijini Dar es Salaam Novemba 9 na Marudiano huko Algiers hapo Novemba 17.

Washindi wa Raundi ya Pili wataingizwa kwenye Droo ya kupanga Makundi 5 ya Timu 4 kila mmoja ambapo Washindi wake wataenda Fainali Russia moja kwa moja

MAJIMAJI SEREBUKA MARATHON YAUNGURUMA SONGEA

Published in Michezo

Wakali wa marathon wakitayarisha saa zao, tayari kwa kuanza safari ya Km 42, katika tamasha la kila mwaka la Majimaji Selebuka 2015 linaloendelea kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji, Songea.

Washiriki wa mbio ndefu za Km 42 katika Tamasha la Majimaji Selebuka 2015, wakichanja mbuga. Kutoka kushoto ni Paulo Modest, Isaki Naghali na Shauri Gwaangwi. Tamasha hilo linaendelea katika Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji, Songea.

Bingwa wa mbio za Km 21 za mashindano ya Tamasha la Majimaji Selebuka 2015, Mohamed Dule akimalizia mbio. Tamasha hilo linaendelea kwenye 2015 linalofanyika kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji, mjini Songea.(P.T)

Read more...

MPENZI WA JIM CARREY, CATHRIONA AZIKWA KARIBU NA BABA YAKE

Published in Michezo

Jim Carrey (katikati) na baadhi ya waomboleza wakibeba jeneza la aliyekuwa mpenzi wake, Cathrion White. 

Gari lenye mwili wa marehemu Cathriona. 

Watoto wa shule nao walikuwepo kumuaga Cathriona.(P.T)

Read more...

STARS YAWASILI BLANTYRE

Published in Michezo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager kimewasili salama katika mji wa Blantyre nchini Malawi jioni ya jana tayari kwa mchezo wa marudiano siku dhidi ya wenyji siku ya jumapili.

Stars inayonolewa na makocha wazawa Charles Boniface Mkwasa na Hemedi Morocco iliondoka jana kwa usafiri wa shirika la ndege la Fastjet na kuwasili jiji la Lilongwe saa 4 asubuhi kabla ya kuanza safari ya bus kuelekea Blantayre iliyochukua takribani masaa 3.

Wachezaji wote wapo katika hali nzuri kuelekea katika mchezo wa marudiano dhidi ya Malawi siku ya Jumapili ambapo Stars itashuka dimbani kusaka matokeo mazuri yatakayoiwezesha kufuzu kwa hatua ya pili, katika mchezo wa awali uliochezwa jijini Dar es salaam, Stars iliibuka na ushindi wa mabao 2- 0.

Stars inatarajiwa kufanya mazoezi kesho jioni katika uwanja wa Kamuzu Banda uliopo Blantyre, uwanja ambao utatumika kwa mchezo wa siku ya Jumapili.

Kuelekea mchezo huo wa marudiano, Kocha wa Stars Charles Mwasa amesema vijana wake wote wapo katika hali nzuri kiafya, kifikra na morali ni ya hali ya juu kuelekea kwenye mchezo huo.

Katika hatua nyingine mabus mawili yenye washabiki wa Stars Supporter yako njiani kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuipa sapoti timu ya Taifa (Taifa Stars) katika mchezo huo wa Jumapili.(P.T)

Issa Hayatou achukua uongozi wa Fifa

Published in Michezo

Issa Hayatou

Hayatou ndiye makamu wa rais wa Fifa aliyehudumu muda mrefu zaidi kwa sasa

Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda.

Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa Fifa Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo, shirikisho hilo linalosimamia soka duniani limesema kupitia taarifa.

Hayatou, aliyeongoza CAF tangu 1988, atachukua usukani kwa mujibu wa sheria za Fifa, akiwa ndiye makamu wa rais katika kamati tendaji ya Fifa aliyehudumu muda mrefu zaidi.

Baadaye, Hayatou ametoa taarifa na kusema amepokea majukumu hayo mapya lakini ataongoza tu kwa muda.

“Rais mpya atachaguliwa kwenye Mkutano Mkuu Februari 26, 2016. Na mimi mwenyewe sitawania,” amesema kupitia taarifa.

“Hadi mkutano huo ufanyike, naahidi kwamba nitajitolea kwa nguvu zangu zote kutumikia shirikisho hili, mashirikisho wanachama, waajiri wetu, washirika na mashabiki wa soka popote walipo.”

Aidha, ameahidi kuendelea kushirikiana na watawala na kuendeleza uchunguzi kwenye shirikisho hilo lililoyumbishwa na madai ya ulaji rushwa.BBC

Arsenal Demolishes Manchester United!

Published in Michezo

1_4b415.jpg

ARSENAL has outclassed their rivals Manchester United at the Emirates tonight. Creative, lively, and direct is only a few words to start describing Arsenals performance this night, which lead to Arsenal being three goals up by half time. These goals came from Mesut Özil and Alexis Sanchez who was on target twice today! The gunners were playing against a very static Manchester united that could not cope with the speed and pressure from Arsenal, which opened up a lot of spaces for players like Sanchez and Walcott to run into. Arsenal was very effective in their game, with fast and precise passes leading to a superb performance, three amazing goals, and three well deserved points.

Could have been more!

Arsenal could easily have scored four, five goals.

Read more...

CHRISTIANO RONALDO 'CR7', MABAO 500

Published in Michezo

Satellite (3)

Mshambuliaji wa Real Madrid, Christiano Ronaldo akikabidhiwa kiatu cha dhahabu na Rais wa timu hiyo, Florentino Pérez wakati wa hafla ya kumpogeza mchezaji huyo.

Satellite (13)

Christiano Ronaldo akiwa na mama yake na mwanaye.

Satellite (12)

Perez akiwahutubia wachezaji na viongozi wa Madrid

Satellite (11)

Ronaldo na Familia yake.(P.T)

Read more...

MBEYA CITY IMETOA KAULI YAKE JUU YA SUALA LA NYOSSO

Published in Michezo

Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana tarehe 29.09.2015 kwa dharula kulijadili suala ambalo hivi sasa linaendelea kujadiliwa katika Umma wa wanamichezo nchini likimuhusisha mchezaji wa timu yetu Juma Said maarufu kama “Nyoso” baada ya mchezo kati ya timu yetu na Azam Fc uliochezwa tarehe 27.9.2015 katika uwanja wa chamazi.

Katika kikao hicho yafuatayo yaliamuliwa:

1. Klabu iliunda kikosi kazi kuliangalia suala zima na kikosi kazi hicho kilipewa masaa 86 na kilifanya kazi kwa adidu za rejea zifuatazo:
(a) Kupitia rejea za mchezo husika na kuangalia Mazingira na Asili ya suala zima lililojitokeza.
(b) Kupata Maelezo ya awali ya mchezaji wetu juu ya suala lenyewe.
(c) Kufanya uchambuzi wa kisayansi wa mzizi wa suala analohusishwa mchezaji kwa kushirikisha watalaam wa Ushauri Nasihi na Saikolojia kisha kuishauri Bodi.
Wakati kazi hiyo ikiendelea, Klabu ilipokea nakala ya barua ya adhabu ya mchezaji wetu Juma Said maarufu kama “Nyoso” yenye Kumb:TPLB/VPL/766/15 ya tarehe 30.09.2015.
Kwa Mukhtasari ifuatayo ni taarifa ya klabu baada ya kikosi kazi hicho kuwasilisha taarifa yake.
Klabu inapenda umma wa wanamichezo nchini ukajua kuwa inasononeka sana na matukio yoyote yenye kuupunguzia ladha mchezo wa mpira wa miguu kunakofanywa na mdau yoyote wa mchezo huo.(P.T)

MALINZI AFUNGA KOZI YA WAAMUZI WA FIFA

Published in Michezo

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga kozi ya waamuzi chipukizi wasiokuwa na beji za FIFA katika hoteli ya Holiday, ambapo jumla ya waamuzi 30 kutoka nchi 28 barani Afrika walihudhuria.

Akiongea wakati wa kufunga kozi hiyo Malinzi alitoa wito kwa wahitimu wajikite kwenye maadili kwa kuzingatia mafunzo waliyopata ili katika kipindi kifupi wote wapate beji za FIFA na waonekane kweye mashindano makubwa kama fainali za AFCON na mashindano ya Kombe la Dunia.

Kabla ya Hotuba ya Mgeni rasmi mwakilishi wa CAF Eddy aliishukuru TFF kwa maandalizi mazuri na usimamizi bora kwa kipindi chore cha kozi hii, na kuahidi kuleta kozi nyingine kubwa hapa nchini.

Naye mwakilishi wa FIFA Carlos Hendrique alitoa shukurani zake za dhati kwa TFF kwa kuwa tayari wakati wote kushirikiana na FIFA hali ambayo imefanyika TFF iaminike na itegemewe na FIFA kweye program mbalimbali

Kozi hiyo ya waamuzi imefanyika kwa mara ya kwanza hapa barani Afrika.

FIFA iliiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa kozi hii kwa nchi zinazo zungumza kiingereza. Kwa upande wa nchi zinazo zungumza kifaransa kozi ya aina hii imefanyika nchini Morocco

Washiriki 30 kutoka nchi 28 barani Afrika wamehudhuria kozi hii ilivyokuwa itafundishwa na Wakufunzi wa Sita kutoka CAF na FIFA.(P.T)

Karibu Mjengwablog

Uchambuzi wa Soka

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA