We have 215 guests and no members online

TENGA KUTOGOMBEA TENA URAIS TFF

Published in Michezo

Leodga-Tenga 23edc

 

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema hatagombea tena wadhifa huo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Februari 24 mwaka huu. Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za TFF leo, Rais Tenga amesema wakati anaingia kwenye uongozi mwaka 2004 ajenda ilikuwa na kuijenga TFF kama taasisi kwa kuweka mifumo ya uendeshaji ikiwemo kutengeneza katiba na kanuni, jambo ambalo limefanyika.

Read more...

5 ab607

 

Nilikutana na kuongea nae hapa Iringa leo hii. Feisal anaamini Simba ni bora kuliko Yanga iliyo Uturuki. Na Feisal anaujua mpira wa nchi hii.

Nikimsikiliza Feisal kama ' Simba' napata matumaini kuwa Ubingwa ni wetu, lakini, nikimsikiliza kama mchambuzi wa soka, basi, nauona mlima mrefu mbele yetu!

mtawa akabidhi jezi

Published in Michezo

jezi f2319

Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Yesu Vikarieti ya Tanzania (kulia) Padre Regnald Mrosso akimkabidhi Katibu wa Timu ya Kisasa FC  Bwana Majuto Matonya seti moja ya jezi kwa ajili ya timu hiyo

uzinduzi wa one world football

Published in Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikabidhi Mipira kwa Ridhiwan
B.Makame,wa Kaskazini A Unguja,wakati alipozindua mradi wa “ONE WORLD
FOOTBALL FOR AFRICA”,mradi wa Ugawaji wa mipira kwa vikundi mbali
mbali vya vijana katika kukuza vipaji vya Mpira wa Miguu hapa Nchini
uliofadhiliwa na Shirika hilo chini ya usimamizi wa Mwakilishi wake
Sandra Cress,(wa pili kulia) sherehe hizo zilifanyika jana
katikamUwanja wa Amaan Studium,katika kuadhimisha Miaka 49 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 

Read more...

wamarekani kuendesha semina za michezo

Published in Michezo

kasey-keller fcbcf

 

Na Mwandishi wetu

WAWAKILISHI wawili wa klabu ya Seattle Sounders ya Marekani  wataendesha semina kwa wadau wa michezo  hapa nchini katika ziara yao ya siku tisa kuanzia leo.

Wawakilishi hao ni beki wa timu hiyo, Marc Burch na kipa aliyestaafu  ambaye kwa sasa ni mtangazaji , Kasey Keller .

Read more...

STARS KUJIPIMA KWA ETHIOPIA JANUARI 11

Published in Michezo

TFF 19b52

Timu ya Taifa (Taifa Stars) itacheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Ethiopia. Mechi hiyo itachezwa Januari 11 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Addis Ababa, Ethiopia.Stars chini ya Kocha Mkuu Kim Poulsen inatarajia kuingia kambini jijini Dar es Salaam keshokutwa (Januari 6 mwaka huu) kujiandaa kwa mechi hiyo. Mechi hiyo itakuwa kipimo cha mwisho kwa Ethiopia kabla ya kwenda Afrika Kusini kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazoanza Januari 19 mwaka huu.

Read more...

Walioteuliwa Kuwania Tunzo Ya Mwasoka Bora Mzalendo.

Published in Michezo

Kundi A: Kipa Bora

Mwandini Ally- Azam FC, Juma Kaseja- Simba, Shaaban Kado- Mtibwa Sugar, Ally Mustapha-Yanga, Jackson Chove-Coastal Union, Deogratius Munishi- Azam FC

Read more...

TASWA Yawafunga Bagamoyo

Published in Michezo
 
TASWA Yawafunga Bagamoyo 
Kikosi cha timu ya Chama Cha waandishi wa habari za Mizhezo TASWA FC kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki kati yake na timu ya Bagamoyo Veteran uliofanyika kwenye uwanja wa Mawanakerenge Mjini Bagamoyo jioni ya leo, ambapo timu ya TASWA FC imechapwa magoli 4-0 na maveterani hao kutoka mjini Bagamoyo,
Ti...
Read more...

IBF Yampongeza Cheka

Published in Michezo
IBF Yampongeza Cheka
Shirilisho la Ngumi la Kimataifa (IBF) limepongeza bingwa mpya wa uzito wa Super Middle katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki yaa Kati, Mtanzania Francis Cheka. Katika barua yake aliyomtumia Francis Cheka ya tarehe 28/12/2012 Mwenyekiti wa kamati ya Ubingwa wa IBF/USBA Lindsey Tucker alisema “Tunachukua fursa hii kukutakia maisha n...
Read more...

Simba Wawa Wa Tatu Kombe La Uhai

Published in Michezo
Simba Wawa Wa Tatu Kombe La Uhai
Release No. 201
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Desemba 23, 2012
 
SIMBA YAPATA NAFASI YA TATU KOMBE LA UHAI
Simba imetwaa nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la Uhai inayoshirikisha timu zenye umri chini ya miaka 20 za klabu za Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuitandika Mtibwa Sugar ya Morogoro mabao 3-0.
 
Hadi mapumziko katika mechi hiyo iliyochezwa...
Read more...

Uchambuzi Wa Olle Mjengwa

Published in Michezo

Cazorla wa Arsenal angefungiwa mechi tatu
Na Olle Bergdahl Mjengwa,

KATIKA mchezo wa mpira kuna wachezaji wengi wanaopenda kujiangusha bila kuguswa. Wachezaji hawa wanaharibu mchezo wa mpira. Nitawapa mfano uliotokea wiki mbili zilizopita. Arsenal walicheza mechi dhidi ya Westbrom. Katika kipindi cha kwanza Cazorla alipata mpira ndani ya 18 ya Westbrom. Jonas Olsson, beki wa Westbrom alienda kumkaba Cazorla. Olsson alijaribu kupiga mpira, lakini, Cazorla aliupeleka mpira kushoto, Olsson aliukosa mpira na ilionekana kama Olsson aliupiga mguu wa kulia wa Cazorla. Cazorla alianguka na Arsenal walipata penalti.

Marudio yalionyesha kwamba Olsson aliukosa mpira, lakini, pia marudio yalionyesha kwamba Olsson hakugusa mguu wa Cazorla na Cazorla alianguka bila kuguswa.
Inasikitisha kwamba mchezaji mzuri kama Cazorla anajiangusha makusudi ili timu yake ipate penalti. Katika mpira kwa sasa timu inaweza kushinda mechi kwa sababu mchezaji wao anajiangusha ndani ya 18 na refa anaamua ipigwe penalti.

Msimu huu FA kwa kweli wamejaribu kuwapunguza wachezaji wanaojiangusha katika ligi ya Uingereza. Msomaji utakuwa unajua, kwamba wachezaji wengi katika ligi ya Uingereza msimu huu wamepata kadi ya njano kwa sababu wamejiangusha.Mara nyingi katika ligi ya Uingereza marefa wamefanya vizuri kuwapa kadi za njano wachezaji wanaojiangusha. Lakini, mara kwa mara, na hasa katika msimu huu, marefa wamekosea na wametoa kadi ya njano kwa wachezaji ambao kweli wamechezewa faulo na hawakujiangusha. Kwa mfano, Torres alipata kadi njano ya pili katika mechi dhidi ya Manchester United msimu huu. Lakini, marudio yalionyesha kwamba Torres kweli alichezewa faulo na Johny Evans.

Read more...

Karibu Mjengwablog

Uchambuzi wa Soka

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA