We have 439 guests and no members online

Taifa Stars- Tunakwenda Brazil 2014

starz 13daa

Ni kama utabiri wangu haukuwa mbali na ukweli Yes!.. tumeshinda kwa Goli 3-1 , ila mimi nilitabiri toka asubui ya leo tutashinda 2-1, sio mbaya hapa naona nimetabiri ukweli maana nimetabiri ushindi.

Kwakweli mmenipa raha Leo naamini bado tuna safari ngumu ila ushindi pia ni lazima. kwangu mimi wote ni bora si samatta  pekee nawapongeza wachezaji na benchi la ufundi maana hata angekuwa samatta peke yake asingetupa ushindi ila naamini kwa mchango wa wachezaji wenzake na benchi la ufundi ndio ushindi umepatikana hii ni chachu kwa wachezaji wanaocheza ligi ya hapa nyumbani.

Mwisho wa ushindi huu ni mwanzo wa maandalizi ya ushindi mwingine

Capt Mkami Jr

HEADER

Guest
0Guest2013-03-24 19:18#1
Ndugu zangu Watanzania wenzangu wapenda michezo na burudani,naona vijana wamefanya kazi kwa bidii na kuweza kutututoa kimasomaso,Tuna kwenda Brazil .........hii itamfurahisha hata mheshimiwa Rais wetu,Dr.Jakaya Kikwete.
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA