We have 237 guests and no members online

Ipo siku kila mtu atashabikia Yanga

mashabiki wa Yanga wakimtania Juma Kaseja 191fc

Mwenyekiti siku ya leo umenikwepa sana hata simu zangu umekuwa haupokei mwanzo nilidhani tatizo la network , ila sasa nimejua tatizo  pole sana.

Binafsi nasema ukweli na si ushabiki timu yenu inahitaji mabadiliko hasa sehemu ya ulinzi bado mna tatizo kubwa kwenye defence  bila ubora wa kipa wenu ambaye sasa anakuwa Tanzania 2 baada ya kipa ambaye alikuwa anamuweka benchi Simba , Ali Mustapha leo mbele ya kocha mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amemuonyesha kuwa anafaaa kukaa langoni mechi inayofuata ya Taifa stars katika kuwania kufuzu Kwa kombe la dunia Hapa nani anabisha Ali Mustapha  ana uwezo sasa kuzidi Kaseja?

Najua Soka la Bongo bila Yanga na Simba halitanoga hivyo siwezi omba mabaya kwa simba nawaomba uongozi wa simba pamoja na benchi la ufundi mjipange kwa msimu ujao, na Ndugu zangu yanga mimi nimefurahi leo ila kesho mtanifanya niwe sina furaha tena maana nadhani kwenye klabu bingwa kama tutatolewa raund ya Kwanza hivi!...

Yanga msibweteke Viva Yanga fanyeni kweli mpaka mmchukue ubingwa wa Klabu Bingwa hapo sijui Maggid Mjengwa atajificha wapi? ha ha ha ha leo  Simba mngeshinda aisee Mwenyekiti ungeongea sana maana ushindi kwenu ulikuwa ni kwaajili ya kuwaponda Yanga haukuwa na manufaa maana hata Kombe la shirikisho hamna nafasi.

Nachukua nafasi hii kwa niaba ya mashabiki wa Yanga kutoa pole kwa Mashabiki wa Simba .

Capt Mkami Jr

 

 

HEADER

Guest
0Guest2013-05-18 21:50#1
Mnyama kwisha pakatwa. Sijui mwenyekiti kajificha wapi leo! Na huyo Maharage na Nyuki safari hii sijui kama watasalimika!
Mnukuu
Guest
0Guest2013-05-19 07:49#2
Bro unaongea sn,mbona mlivyopigwa five o'lock hamkuongea?.Kw mpira wa jana Yanga hamna jipya na hata k/bingwa mnapigwa asubuhi na mapema!.Endelee ni kucheza na magazeti!.
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA