We have 248 guests and no members online

Tujikumbushe mawili matatu kutoka kwa Marcio Maximo

HEADER

Guest
+1Guest2013-07-11 06:11#1
Kwanini jeshi la polisi halitaki kujifunza na kuacha ubabaishaji na kutumika kisiasa kwa faida ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Hakuna sheria inayozuia watu au mtu kujilinda iwapo asasi zinazopaswa kumlinda kama polisi zimewekwe kinyumba na vyama vya kifisadi na kizandiki kama ilivyo nchini. Huyu Senso anapawa kujua kuwa anaongea na watu wenye akili. Hivyo, ni vizuri akatumia angalau commonsense badala ya un-commonsense. Kama anasema kuunda kikundi cha kujilinda na kujihami ni kinyume cha sheria basi kusingekuwa na makampuni ya ulinzi au vikundi vya ulinzi vya baadhi ya madhehebu kama vile yale ya kihindi. Senso aseme wazi kuwa analenga kutekeleza ahadi toka juu zenye kulenga kuilinda CCM na uovu wake. Ni aibu na kinyume cha sheria kuwa na jeshi la polisi kama la Tanzania ambalo halina sifa yoyote zaida ya mauaji ya raia wasio na hatia na kushiriki wizi na ujambazi na rushwa. Shame on you Senso. Go tell this stuff to birds.
Nkwazi Mhango
Canada
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Watembeleaji

BLOG SHABIHANA