habari

Mzee Majuto Afariki Dunia

on

Mchekeshaji mkongwe nchini Mzee Majuto amefariki dunia jana Agosti 8  saa mbili usiku baada ya kulazwa siku chache zilizopita katika hospitali ya    taifa Muhimbili jijini Dar es salaam. Mtoto wake aitwaye Abuu amethibitisha habari hizi.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *