michezo

Official: Pep Guardiola Kathibitisha Kuwa Yaya Toure Ataondoka Manchester City Mwisho Wa Msimu Huu.

on

Yaya Toure aliekaa ndani ya timu hiyo kwa takriban miaka nane ataondoka mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake kufikia ukingoni.

Toure ambae alisajiriwa tokea Barcelona mwaka 2010 alikuwa mchezji wakutegemewa ndani ya kikosi cha City kupelekea klabu hiyo kushinda vikombe mbali mbali kama FA cup na ligi mara mbili.

About Innocent Chambi

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *