habari

Rais Wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim Amekataa Kujiuzulu

By

on

Akiapa kupambana na madai ambayo yamemtumbukiza katika kashifa kubwa la kifedha. Gurib-Fakim, Rais huyo pekee mwanamke barani Afrika, anatuhumiwa kwa kutumia kadi ya benki aliyopewa na shirika moja lisilo la kiserikali kujinunulia bidhaa na kulipia huduma.

About mjengwa

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *