michezo

Refarii Wa Kenya Aden Range Marwa Aondolewa Kuchezesha Kombe La Dunia

on

Refarii wa Kenya Aden Range Marwa ameondolewa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia nchini Urusi kwa madai ya rushwa.

Marwa ni miongoni mwa watuhumiwa wengine wapatao 100 walionaswa katika mkanda wa video na mwandishi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas wakipokea rushwa.

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *