michezo

Salah Asema Ana Uhakika Wa Kucheza Mechi Za Kombe La Dunia.

on

Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.

Salah, 25, aliondoka uwanjani mjini Kiev akiwa analia baada ya kuchezewa rafu na mlinzi wa Real Madrid Sergio Ramos.

”Upendo wenu na kuniunga mkono kwa pamoja vitanipa nguvu ninayoihitaji,” alisema Salah.

Misri itacheza mchezo wake wa kwanza June 15 dhidi ya Uruguay katika mji wa Yekaterinburg.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *