michezo

Salah Kuondoka Liverpool?

on

Kwa mujibu wa tovuti ya THE SUN, Klabu za Barcelona, Paris St-Germain na Real Madrid zinamuwinda mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah (25) kwa dau la uhamisho litakalovunja rekodi la £200m. Salah ambaye ni raia wa Misri, mpaka sasa amefunga mabao 28 katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *