michezo

Salah kusafiri Kwenda Hispania Kwa Ajili Ya Matibabu

on

Mchezaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah ataenda Hispania Jumanne kwa matibabu ya bega iliyojeruhiwa katka Ligi ya Mabingwa na kutishia ushiriki wake wa Kombe la Dunia. Shirikisho la soka la Misri (EFA) lilisema kuwa Salah amechagua Hispania kwa matibabu na kwamba Wamisri watumaini kurudi kwa Salah muda wa Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi.

About Innocent Chambi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *