michezo

Serena Williams Atupwa Nje Michuano Ya Miami.

on

Serena Wiiliams ameondoshwa katika michuano ya wazi ya Miami katika mchezo wa raundi ya kwanza dhidi ya Naomi Osaka mshindi wa mara 23 wa michuano ya Grand Slam akifungwa kwa seti 6-3 6-2. Hii ilikuwa ni baada ya kurejea kutoka likizo ya uzazi na siku chache tu tangu mkurugenzi wa michuano hiyo James Blake alipozungumzia juu ya sheria mpya za wachezaji wanaotoka katika likizo ya uzazi.

Osaka baada ya kumshinda Serena Williams sasa anatarajia kuutana na mchezaji na nne nne ulimwenguni katika mchezo wa Elina Svitolina of Ukraine katika raundi ya pili ya michuao ya Miami.

Williams mwenye umri wa miaka 36, mapema arijrejea kwenye michuano ya WTA ya India ya mwezi huu na kupoteza mchezo wa raundi ya tatu na kupoteza mchezo huo dhid ya dada yake Venus William

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *