habari

Serikali Imezindua Vituo Vidogo Vya Polisi

By

on

Serikali ya Tanzania imezindua vituo vidogo vya polisi vinavyohamishika ili kukabiliana na uhalifu nchini humo hasa maeneo ambayo huduma za kipolisi hazipatikani kwa urahisi. Vituo hivyo vitaanza kazi katika mkoa wa kipolisi wa kinondoni jijini Dar es Salaam kutokana na kuwa na idadi kubwa ya matukio ya uhalifu ukilinganishwa na maeneo mengine ya nchi na baadae mpango huo utasambaa katika maeneo mengine ya nchi ikiwemo katika mipaka ya nchi hiyo. Zaidi ni katika matangazo yetu ya jioni.

About mjengwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *