We have 194 guests and no members online

Oh! Oh! Mwenyekiti Wenu Niliziona Ishara Za Gerson Lwenge Kupanda..!

Posted On Thursday, 24 December 2015 05:25 Written by
Rate this item
(0 votes)

 

Ndugu zangu,

Kwenye jukwaa letu hili Novemba 10 mwaka huu niliandika;
" Katika Nyakati Hizi Msiwasahau Watu Wa Aina Ya Gerson Hosea Malangalila Lwenge ...!

Ni Injinia huyu, Mbunge wa Wanging'ombe na aliyefanya kazi kwa karibu sana na John Pombe Magufuli, yumkini yanapotajwa mafanikio makubwa ya kazi ya John Pombe Magufuli kwenye Wizara ya Ujenzi ni rahisi kumsahau Injinia Lwenge. Naziona ishara za Lwenge kuondoka kutoka kwenye Unaibu Uwaziri na kupewa Wizara Kamili kama sio kupewa jukumu la kuwa ' Tingatinga' la Magufuli, jukumu la kusimamia kazi za Serikali..."

Maggid,

Read 1402 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart