We have 308 guests and no members online

RAIS DONALD TRUMP AKUTANA NA RAIS KAGAME MJINI DAVOS-USWISSI

Posted On Friday, 26 January 2018 18:37 Written by
Rate this item
(0 votes)

Rais wa Marekani Donald Trump leo Januari 26 2018 amekutana na Rais wa Rwanda Paul Kagame katika mkutano wa Baraza la Uchumi Duniani huko mjini Davos-Uswissi. Trump amekutana na rais huyo wa taifa la Afrika Mashariki zikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya rais Trump kutoa maoni yenye utata kuhusu nchi za Afrika.

Kagame amesema kuwa yeye na Trump walikuwa na “mazungumzo mazuri” juu ya masuala ya kibiashara na uchumi. Amesema Umoja wa Afrika (AU) uko tayari kushirikiana na Marekani.

Read 71 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli