We have 389 guests and no members online

Orodha ya walioteuliwa katika baraza jipya la mawaziri na Mabalozi Kenya.

Posted On Saturday, 27 January 2018 08:36 Written by
Rate this item
(0 votes)

Tokeo la picha la kenyatta

Ikiwa ni takriban mwezi mmoja na nusu tangu mahakama ya juu nchini Kenya kumtangaza Rais Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa kiti hicho, sasa ametangaza watu anaopendekeza waidhinishwe kuwa mawaziri katika serikali yake.

Wakati wa muhula wake wa kwanza, rais huyo alikuwa na mawaziri 18 kwenya baraza lake.Katika uteuzi huo mawaziri sita waliokuwa wanahudumu katika serikali yake muhula uliopita wamevuliwa uwaziri na kuteuliwa kuwa mabalozi.

Walioteuliwa watafika mbele ya kamati ya bunge ili kuidhinishwa au kukataliwa.

Hii ndiyo orodha kamili ya walioteuliwa:

    Waziri wa Fedha - Henry Rotich
    Waziri wa Afya - Sicily Kariuki
    Waziri wa Kawi - Charles Keter
    Waziri wa Utalii - Najib Balala
    Waziri wa Mambo ya Kigeni - Monica Juma
    Waziri wa Elimu - Amina Mohamed
    Waziri wa Kilimo - Mwangi Kiunjuri
    Waziri wa Viwanda - Aden Mohamed
    Waziri wa Ulinzi - Raychelle Omamo
    Waziri wa Usalama wa Ndani - Fred Matiang’i
    Waziri wa Michezo na Turathi - Rashid Mohamed
    Waziri wa Ugatuzi - Eugene Wamalwa
    Waziri wa Uchukuzi - James Macharia
    Waziri wa Teknolojia - Joe Mucheru
    Waziri wa Mazingira na Misitu - Keriako Tobiko
    Waziri wa Maji - Simon Chelugui
    Waziri wa Ardhi - Farida Karoney
    Waziri wa Mafuta na Madini - John Munyes
    Waziri wa E.A.C - Peter Munya.
    Waziri wa Utumishi kwa Umma,Vijana na Jinsia - Margaret Kobia
    Waziri bila kazi mahsusi - Raphael Tuju
    Waziri wa Leba - Ukur Yattani

MABALOZI:

Balozi wa Kenya nchini Ufaransa - Judy Wakhungu

Balozi wa Kenya Umoja wa Mataifa(Geneva) - Cleopas Mailu

Balozi wa Kenya nchini Tanzania - Dan Kazungu

Balozi wa Kenya, UNESCO (Paris) - Jacob Kaimenyi

Balozi wa Kenya, UN, New York - Lazarus Amayo

Balozi wa Kenya,Ubelgiji - Phylis Kandie

Balozi wa Kenya,India - Willy Bett

Balozi wa Kenya, Austria - Hassan Wario

Balozi wa Kenya, Uganda - Kiema Kilonzo

 

Read 104 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli