We have 261 guests and no members online

TRUMP: MAREKANI BADO INAWAHESHIMU WAAFRIKA

Posted On Sunday, 28 January 2018 22:09 Written by
Rate this item
(0 votes)

media

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress na kiongozi wa Palestina pia wamehotubia mkutano huo. Wakati mkutano huo, rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi yake inawaheshimu Waafrika, na hivi karibuni itatuma mjumbe wake katika bara hilo.

Trump amewaandikia barua wakuu wa nchi za Afrika wanaokutana jijini Addis Ababa, kuelezea hisia zake kuhusu waafrika wiki kadhaa baada ya kutoa matamshi tata kuhusu bara la Afrika. Rais huyo wa Marekani, amekanusha matamshi hayo na kusema alielewa vibaya. Wakuu wa mataifa ya Afrika ambao wamemtaka Trump, kuomba radhi, wanatarajiwa kutumia mkutamo unaoendelea kulaani matamshi hayo ya rais Trump.

Read 84 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu