We have 281 guests and no members online

MABASI MATATU YALIYOWABEBA WAFUASI WA NASA YAZUILIWA.

Posted On Tuesday, 30 January 2018 06:32 Written by
Rate this item
(0 votes)
Tokeo la picha la nasa supporters busea

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na gazeti la Daily Nation la nchini humo zinasema mabasi yaliyokamatwa yalikuwa ni miongoni mwa mabasi sita yaliyoondoka Mombasa kuelekea Nairobi, ambayo yaliwabeba wafuasi wa NASA kwenda Nairobi kushudia tukio la kuapishwa kwa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka.

Kamanda wa polisi wa eneo la Voi Joshua Chesire amesema mabasi hayo yamekamatwa kuanzia majira ya saa tatu asubuhi kwa makosa ya kukiuka sheria za usalama barabarani. Pia kamanda huyo amesema kulikuwa na abiria 82 kwenye mabasi hayo wengi wao wakiwa ni vijana ambao 10 kati yao hawakuwa na vitambulisho.

Read 46 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu