We have 267 guests and no members online

WAFUASI WA NASA WAJITOKEZA KUMUAPISHA ODINGA.

Posted On Tuesday, 30 January 2018 06:54 Written by
Rate this item
(0 votes)
Tokeo la picha la nasa supporters
Wafuasi wa NASA wameanza kuwasili katika viwanja vya Uhuru Park tayari majira ya saa 11 alfajiri kusubiri tukio la kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa rais wa jamhuri ya Kenya.  

Msemaji mkuu wa NASA Bw. Norman Magaya amesema zoezi la kuapishwa kwa Odinga litamalizika majira ya saa 7 mchana.

Baadhi ya wafuasi wa NASA walikuwa wakiimba nyimbo huku wengine wakiwa wamebeba biblia na kusema wako tayari kumuapisha Odinga. Wabunge kadhaa wa NASA wameelezwa kuwahamasisha wananchi tangu jumatatu kwa kiwango kikubwa ili wahudhurie sherehe hizo. Hata hivyo tamko la serikali juu ya sherehe hizo haikutolewa mapema ingawa jeshi la polisi limeweka kambi nje kidogo ya viwanja vya Uhuru Park.

Read 67 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Simu