habari

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

on

CHINA 1

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke aliyemtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 2

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 3 ..

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 4

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke akiwa katika Picha ya pamoja na Wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.

CHINA 5.... CHINA 5A

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang  Ke akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.

About Muhammed Khamis

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *