habari

Taarifa Ya Kusitishwa Kwa Shughuli Za Utalii Kutoka TANAPA.

on

Kufuatia daraja la Mto Merera kuvunjika na kusombwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Mamlaka ya Hifadhi Nchini (TANAPA) imesitisha shughuli za utalii kwa wageni wote waliopanga kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara hivi karibuni.

About Hosea Revocatus

hosearevocatus9@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *